Upandaji miti asili katika maeneo ya mijini na umuhimu wake

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=WAVZChi77zM

Muda: 

00:07:59
Imetengenezwa ndani: 
2018

Imetayarishwa na: 

Environment and Climate Change, Kerala
Kwa ajili ya ongezeko la ukuaji wa miji, kuna haja ya kujumuisha upandaji wa miti katika mazingira yetu ya mijini.
Hatua ya kwanza ya kuanzisha misitu katika mazingira ya mijini ni kutambua miti ambayo ni asili ya mkoa huo, na kuikuza kwa uangalifu katika viriba vilivyojazwa udongo wenye rutuba, samadi ya ng’ombe na mbolea ya nazi. Vichaka vinapaswa kupandwa kando ya miti.

Uanzishaji wa misitu mijini

Tayarisha ardhi kwa ajili ya kupanda. Kuku kunafanywa kwa kuondoa mawe na miamba kutoka eneo la kupandia. Samadi ya ng’ombe, na mbolea ya nazi huchanganywa vizuri na udongo kwa uwiano wa kilo 10 kwa kila mita ya mraba.
Weka miche kwenye eneo ambapo itapandwa kwa angalau wiki 2. Huku kunawezesha miche kuzoea hali mpya ya hewa na mazingira.
Panda miche 4 kwa kila mita ya mraba. Huku kunawezesha miche kukua haraka. Miti, vichaka na mimea ya kutambaa vinapaswa kukuzwa pamoja kama vilivyo katika msitu halisi. Jaribu kupanda angalau mimea 400 ya aina 100 katika eneo dogo la mita 100 za mraba.
Kupalilia kunaweza kufanywa ili kuhifadhi unyevu wa ardhi. Ongeza mbolea za kikaboni ili kuongeza ukuaji wa haraka.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0001:37Miti inaweza kuapandwa katika maeneo madogo kama mita 100 za mraba.
01:3803:04Tambua miti asilia na uipande kwenye viriba.
03:0503:45Tayarisha ardhi kwa ajili ya kupanda miti
03:4604:20Weka miche kwenye eneo ambapo itapandwa kwa angalau wiki 2.
04:2105:00Miti, vichaka na mimea ya kutambaa vinapaswa kukuzwa pamoja
05:0107:33Kupalilia kunaweza kufanywa ili kuhifadhi unyevu wa ardhi.
07:3407:59sifa

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *