Teknolojia ya kupandikiza teff

0 / 5. 0

Chanzo:

https://sawbo-animations.org/273

Muda: 

00:04:18
Imetengenezwa ndani: 
2014

Imetayarishwa na: 

SWABO
Teff ni zao muhimu la nafaka, kupandikiza teff kunasaidia wakulima kupunguza gharama za pembejeo na hivyo kuongeza mavuno.
Kupandikiza huongeza mavuno ya nafaka na majani kwa hivyo unaweza kuokoa kilo 29 za mbegu kwa hekta. Unahitaji tu nusu kilo ya mbegu ya teff kwa hekta. Pandisha miche kwenye kitalu chenye rutuba kilichotayarishwa karibu na shamba la kupandikiza siku 20-30 kabla ya wakati wa kupanda.

Kupandikiza

Tengeneza safu kwenye kitalu kilichoinuliwa huku ukiacha nafasi ya sm 10 kati ya safu hizo. Rekebishe urefu wa kamba kwenye vijiti ili kupata umbali unaopendelea kutoka ardhini.
Panda mbegu kwenye safu,  zifunike na 2 – 3 cm ya udongo, mwagilia maji mara kwa mara na palilia.
Kabla ya kupandikiza, safisha, lima na sawazisha shamba.
Siku moja kabla ya kupandikiza, mwagilia maji ya kutosha na pandikiza tu wakati shamba lina unyevu wa kutosha.
Tengeneza safu kwa muachano wa sentimita 20 shambani kuu, weka mbolea ya DAP na kuifunika kwa udongo mwembamba.
Weka miche 3 kwa kila shimo kwa umbali wa 10cm na weka unusu wa kipimo cha mbolea ya urea kilichopendekezwa wakati miche inapoanza kustawi.
Baada ya siku 30, weka mboleaya urea kati ya safu.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:42Teff ni zao muhimu la nafaka, kupandikiza teff kunasaidia wakulima kupunguza gharama za pembejeo na hivyo kuongeza mavuno.
00:4300:50Unahitaji tu nusu kilo ya mbegu ya teff kwa hekta
00:5101:09 Pandisha miche kwenye kitalu chenye rutuba kilichotayarishwa karibu na shamba la kupandikiza siku 20-30 kabla ya wakati wa kupanda.
01:1001:30Tengeneza safu kwenye kitalu kilichoinuliwa huku ukiacha nafasi ya sm 10 kati ya safu hizo.
01:3101:39Rekebishe urefu wa kamba kwenye vijiti
01:4001:53Panda mbegu kwenye safu, zifunike na 2 - 3 cm ya udongo, mwagilia maji mara kwa mara na palilia.
01:5402:00Kabla ya kupandikiza, safisha, lima na sawazisha shamba.
02:0102:25Siku moja kabla ya kupandikiza, mwagilia maji ya kutosha na pandikiza tu wakati shamba lina unyevu wa kutosha
02:2602:58Tengeneza safu kwa muachano wa sentimita 20 shambani kuu, weka mbolea ya DAP na kuifunika kwa udongo mwembamba.
02:5903:11Weka miche 3 kwa kila shimo kwa umbali wa 10cm na weka unusu wa kipimo cha mbolea ya urea kilichopendekezwa wakati miche inapoanza kustawi.
03:1203:35Baada ya siku 30, weka mboleaya urea kati ya safu.
03:3604:18wasifu

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *