Mbolea bora asili kutoka kwa mshubiri

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=_FhvRUXQBNY

Muda: 

05:37:00
Imetengenezwa ndani: 
2019

Imetayarishwa na: 

Everyday Simple Health Tips
Mshubiri ni chanzo kizuri cha virutubisho kama vile magnesiamu, shaba, zinki, sodiamu, kalsiamu, chuma, potasiamu na magnesiamu, na vitamini kama A, C, E, folic acid, B1, B2, B3, B6 na pia B12.

Mchakato wa kutengeneza mbolea

Pata majani ya mshubiri na utoe sehemu laini ilio katikati mwa jani.
Kata sehemu hiyo katika vipande vidogo, na pia kata sehemu ya kijani ya jani hilo katika vipande vidogo.
Ongeza lita 1 ya maji kwenye mchanganyiko na subiri kwa siku 7.
Baada ya siku 7, rangi ya maji itabadilika na sasa mchangnyiko huo ni mbolea tayari.
Chuja mchanganyiko , ongeza lita 5 za maji na nyunyizia mimea yako. Mbolea hiyo inaweza kutumika moja kwa moja kwenye majani ya mmea au kwenye mashina. Vile vile inaweza pia kunyunyiziwa kama dawa ya kuua wadudu.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:49virutubisho vilivyo kwenye mshubiri.
00:5003:35 Mchakato wa kutengeneza mbolea kutoka kwa mshubiri
03:3604:49 Mbolea hiyo inaweza kutumika moja kwa moja kwenye majani ya mmea au kwenye mashina. Vile vile inaweza pia kunyunyiziwa kama dawa ya kuua wadudu.
04:5005:37hitimisho

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *