Mizinga ya nyuki ni mojawapo ya vifaa muhimu zaidi
vinavyohitajika katika ufugaji wa nyuki na ni ya aina nyingi, langstroth ikiwa
mojawapo.

Nafasi inayopaswa
kuachwa ndani ya mizinga wa nyuki ni
kati ya mm 8 hadi 10, na hii huruhusu wafugaji wa nyuki kuweka viunzi (fremu) kwenye
mizinga kwa usimamizi bora wa makundi ya nyuki. Inashauriwa kutumia
mizinga yenye viunzi vinavyoweza kuondolewa. Mizinga huhimili kati ya fremu 8 hadi 12
huku upana ukitofautiana. Vifuniko vinavyoweza kuondolewa mara
nyingi hutumika kwa sababu huruhusu mizinga kuunganishwa pamoja, na ubao wa chini una ukubwa sawa na mzinga, ila tu una mlango hupanuliwa
nje kidogo karibu 25 mm.

Vijenzi vingine vya mzinga
Vijenzi vingine vya mzinga ni pamoja na
kitenga malkia ambacho hudhibiti mienendo ya malkia, viambatisho vya mizinga ambavyo huunganisha mzinga, mfano ni kamba au klipu ngumu.

Mizinga ya nyuki kawaida hutengenezwa kwa mbao
au plastiki. Vijenzi vya mzinga wa nyuki
vinaweza kununuliwa kutoka kwa ushirika wa nyuki, lakini
ni muhimu kuzingatia muundo wa kawaida wa mizinga.

Iwapo unanunua vifaa vya mitumba, hakikisha kwamba
vijenzi vyote ni vya ukubwa wa kawaida.
vijenzi vyote ni vya ukubwa wa kawaida.
Kuunganisha vijenzi vya mzinga
Ili kuunganisha vijenzi vya mizinga ya nyuki, utahitaji nyundo, misumari, na parafujo.
Baada ya kuunganisha vijenzi, tumia kihifadhi maalum ili kudumisha ubao. Ubao wa chini, vifuniko na mizinga lazima uzipake rangi ndani na nje kwa ulinzi bora.
Fremu zinaweza kuwa za plastiki au za mbao, lakini zikitengenezwa kwa plastiki, lazima zipakwe kwa nta ya
nyuki iliyopashwa moto kwa kutumia brashi.