Hasara Baada ya Mavuno: Usafirishaji wa Mifuko

0 / 5. 0

Chanzo:

https://sawbo-animations.org/216

Muda: 

00:03:00
Imetengenezwa ndani: 
2012

Imetayarishwa na: 

SAWBO
Ni muhimu kuchukua tahadhari wakati wa kusafirisha mifuko ya mbegu au nafaka kwa sababu nyenzo zenye ncha kali zinaweza kurarua mifuko yako na kusababisha hasara kwa mazao.
Kabla ya kuanza kupakia mazao kwa ajili ya usafirishaji, safisha lori ili kuondoa mabaki ya awali, ziba mashimo kwenye sakafu au paa na pakia mifuko kwa usawa, walakin epuka kupakia zaidi kupita kiasa.
Baada ya kupakia, funika mifuko ili kuepuka kuchafuliwa na ndege au mvua lakini wakati wa kufunika, weka vipande vilivyopinda vilivyotengenezwa kwa mianzi au chuma ili kuzuia mkusanyiko wa maji juu ya turubai. Kisha funika sehemu ya juu na upanue turubai kutoka juu ili iweze kufunika pande zote za lori, na funga vizuri.
Wakati wa kusafirisha, fanya vituo vya mara kwa mara unaposafiri na uangalie hali ya mizigo na ikiwa ni lazima, panga upya mzigo.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:30Ni muhimu kuchukua tahadhari wakati wa kusafirisha mifuko ya mbegu au nafaka ili kuepuka hasara.
00:3101:05Safisha lori ili kuondoa mabaki ya awali, ziba mashimo kwenye sakafu au paa na pakia mifuko kwa usawa, walakin epuka kupakia zaidi kupita kiasa.
01:0602:13Weka vipande vilivyopinda vilivyotengenezwa kwa mianzi au chuma ili kuzuia mkusanyiko wa maji juu ya turubai.
02:1402:38Wakati wa kusafirisha, fanya vituo vya mara kwa mara unaposafiri na uangalie hali ya mizigo na ikiwa ni lazima, panga upya mzigo.
02:3903:00Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *