»Teknolojia za kuzalisha maembe«

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=YmcGtB95mCw

Muda: 

00:04:39
Imetengenezwa ndani: 
2018

Imetayarishwa na: 

ICAR Indian Institute of Horticultural Research

Miembe hustawi vizuri katika hali za joto na joto la wasitani. Tunda hili linahitajika sana kutokana na faida zake za kiafya na ni chanzo kizuri cha mapato kwa wakulima.

Kukuza miembe kunahitaji miongozo rahisi ili kustawi na kuongeza mavuno.

Utumiaji wa mbinu

Wakati wa kupanda, ni lazima uache nafasi ifaayo kwa ongezeko la idadi ya mimea na mavuno zaidi kwa ekari. Weka mbolea ya NPK na samadi ya mifugo katika hali ya mvua kama inavyopendekezwa ili kuongeza matokeo. Nyunyizia virutubishi vikuu mara 3 ili kuongeza ukuaji wa mmea na mavuno zaidi. Ninginiza mitego ya nzi wa matunda iliyo na dawa za kuvutia wadudu. Badilisha dawa hizo mara kwa mara matunda yanapoundwa.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:25Miembe hustawi vizuri katika hali za joto na joto la wasitani
00:2600:50Wakati wa kupanda, ni lazima uache nafasi ifaayo
00:5101:48Weka mbolea ya NPK na samadi ya mifugo katika hali ya mvua kama inavyopendekezwa
01:4902:22Nyunyizia virutubishi vikuu mara 3
02:2303:43Ninginiza mitego ya nzi wa matunda iliyo na dawa za kuvutia wadudu. Badilisha dawa hizo kila mwezi
03:4404:39Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *