»Kutumia soya kupika!«

0 / 5. 0

Chanzo:

https://sawbo-animations.org/88

Muda: 

00:03:52
Imetengenezwa ndani: 
2014

Imetayarishwa na: 

SAWBO

Maharagwe ya soya yamekithiri viwango vya protini ambayo ni muhimu sana kwa afya yetu, na pia huhitajika kwa ukuaji wa misuli, kucha na nywele.

Protini hutengenezwa kwenye aminoasidi, kwa hivyo soya hutoa aminoasidi inayohitajika kwa mwili. Kuna vyanzo anuwai vya soya kama vile, maziwa ya soya, mchuzi wa soya na tofu. Maharagwe ya soya yanaweza kupikwa na kuliwa kwa njia tofauti.

Faida ya Soya

Soya ni chanzo kizuri cha protini. Soya huboresha lishe ya chakula na ladha ikiongezwa kwenye mkate, nafaka na bidhaa za nyama. Soya hutumika kutengeneza karanga za soya, unga na vipande vya protini ya soyo vinavyofanana nyama.

Pia soya hutoa chakula kinachopunguza gharama za kununua viungo vingine vilivyo na lishe na ladha.

Soy hubadilisha ladha ya viungo vingine kwani ina ladha yake asilia. Pia soya huongeza ladha nzuri na lishe bora kwa chakula.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:54Maharagwe ya soya yamekithiri viwango vya protini, na ni muhumu kwa kupikia
00:5501:09Protini hutengenezwa kwenye aminoasidi
01:1001:15Vyanzo vya soya
01:1601:19maziwa ya soya, mchuzi wa soya na tofu.
01:2001:25Soya huboresha lishe ya chakula na ladha
01:2602:26Soya hutumika kutengeneza karanga za soya, unga na vipande vya protini ya soyo vinavyofanana nyama
02:2702:47Soya hutoa protini ambayo kuokoa gharama
02:4803:08Soy hubadilisha ladha ya viungo vingine kwani ina ladha yake asilia.
03:0903:52Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *