Kahawa: Kuunda chama

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.accessagriculture.org/coffee-group-organisation

Muda: 

10:13:00
Imetengenezwa ndani: 
2016

Imetayarishwa na: 

Access Agriculture

Usimamizi wa chama.

Malengo huwekwa kila mwaka kwa kila shamba, wanachama hulipa ada kwa huduma zinazotolewa na vyama vidogo vinaundwa mara tu chama kinapokuwa kikubwa zaidi. Wanachama huweka malengo na hujadili mabadiliko yanayohitajika ili kuongeza ubora wa mazao. Chuma matunda ya kahawa yaliyoiva pekee na yakaushie ardhini. Panda miti ya kivuli.
Hatimaye, vyama vinatoa kiasi kinachohitajika cha kahawa kwa wanunuzi na hivyo hupata bei nzuri.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0002:11Wakulima hujiunga na chama ili kutatua matatizo na kuboresha ubora wa kahawa.
02:1202:37 Chama kinachoendeshwa vizuri kinamfanya mkulima asikatishwe tamaa na wakulima wenzake.
02:3803:22 Vyama vyote vinahitaji kuendeshwa kwa kanuni na kamati
03:2303:28Kamati huchaguliwa kwa wanachama na kuchaguliwa tena mara kwa mara
03:2903:40Wanachama hulipa ada kwa huduma zinazotolewa
03:4103:48Malengo huwekwa kila mwaka kwa kila shamba.
03:4904:25vyama vidogo vinaundwa mara tu chama kinapokuwa kikubwa zaidi
04:2605:24Wanachama huweka malengo na hujadili mabadiliko yanayohitajika ili kuongeza ubora wa zao.
05:2505:48Chuma matunda ya kahawa yaliyoiva pekee na yakaushie ardhini. Panda miti ya kivuli.
05:4909:09 vyama vinatoa kiasi kinachohitajika cha kahawa kwa wanunuzi na hivyo hupata bei nzuri.
09:1010:13Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi