Jinsi ya kuuza chakula cha kikaboni

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.accessagriculture.org/how-sell-ecological-food

Muda: 

15:03:00
Imetengenezwa ndani: 
2023

Imetayarishwa na: 

Access Agriculture

Uuzaji wa chakula

Kwanza, kikundi cha wakulima wa kikaboni wanapaswa kuthibitisha bidhaa kupitia mfumo shirikishi wa dhamana na kuonyesha wateja wao cheti cha kilimo cha kikaboni. Pia wakulima wanapaswa kushiriki katika matangazo ya kila wiki ya vyakula vya asili na bidhaa za kikaboni na waanzishe huduma ya ugavi wa bidhaa za kikaboni kwa wateja.
Vile vile, tengeneza menyu ya bidhaa zinazopatikana na uzisambaze kwenye mitandao ya kijamii mwanzoni mwa wiki, na uwaruhusu wateja kuagiza bidhaa wanazotaka. Siku moja kabla ya kupelekea wateja bidhaa, wanachama huvuna na kufungasha bidhaa zao za kikaboni, na wanachama wote huleta bidhaa zao safi asubuhi kwenye vituo vya kukusanyia ambapo bidhaa hufungashwa ili kupelekwa kwa kila wateja.
Wafunze wakulima kwa njia nyinginezo pia kwa kuandaa mipango ya elimu na burudani. Hatimaye, ungana na taasisi nyingine ili kukuza chakula cha kikaboni.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0002:57Jifunze jinsi ya kuzalisha bidhaa bora.
02:5803:13Lima aina mbalimbali za mazao na fuga mifugo tofauti
03:1404:10Uza bidhaa moja kwa moja shambani
04:1104:48Uzeni kama kikundi ili muweze kuaminiwa na wateja.
04:4905:49kikundi cha wakulima wa kikaboni wanapaswa kuthibitisha bidhaa
05:5006:57onyesha wateja cheti cha kilimo cha kikaboni.
06:5808:28shiriki katika matangazo ya kila wiki ya vyakula vya asili na bidhaa za kikaboni
08:2908:34anzisha huduma ya ugavi wa bidhaa za kikaboni kwa wateja.
08:3508:42tengeneza menyu ya bidhaa zinazopatikana na uzisambaze kwenye mitandao ya kijamii mwanzoni mwa wiki,
08:4309:01waruhusu wateja kuagiza bidhaa wanazotaka.
09:0209:13Siku moja kabla ya kupelekea wateja bidhaa, wanachama huvuna na kufungasha bidhaa zao za kikaboni
09:1409:24wanachama wote huleta bidhaa zao safi asubuhi kwenye vituo vya kukusanyia.
09:2509:35Bidhaa hupelekwa kwa wateja
09:3610:20Wafunze wakulima kwa njia nyinginezo
10:2112:06ungana na taasisi nyingine ili kukuza chakula cha kikaboni.
12:0715:03Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi