Jinsi ya kufunga na kuimarisha mzinga wa nyuki dhidi ya upepo mkali

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=S2htqvZA57s

Muda: 

02:07:00
Imetengenezwa ndani: 
2022

Imetayarishwa na: 

Frederick Dunn

Hatua

Ikiwa una kiunzi au fito ngumu, kufunga na kuimarisha mizinga kutakuwa rahisi. Huku kunapunguza uwezekano wa mizinga kupeperushwa na upepo. Ikiwa mizinga imesimama peke yake, unahitaji kuweka archini nanga au uzito mkubwa ili kuimarisha mizinga. Nanga na mikanda husaidia kushikilia mizinga, na pia huwa ni rahisi kutumika. Ongeza kiimarisho cha chuma au inapohitajika kwa kukiingiza ardhini huku kikishikamana na nanga, na hivyo kuweza kuhimili uzito wa mizinga.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:30Rundo refu la mizinga ya nyuki linaweza kupeperusha na upepo mkali.
00:3101:00Ikiwa una kiunzi au fito ngumu, kufunga na kuimarisha mizinga kutakuwa rahisi.
01:0101:30Nanga na mikanda husaidia kushikilia mizinga, na pia huwa ni rahisi kutumika.
01:3102:07Ongeza kiimarisho cha chuma au inapohitajika kwa kukiingiza ardhini huku kikishikamana na nang

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi