Kuunda masoko ya bidhaa za kikaboni

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.accessagriculture.org/creating-agroecological-markets

Muda: 

15:38:00
Imetengenezwa ndani: 
2022

Imetayarishwa na: 

Access Agriculture

Usimamizi wa kilimo hai

Kwanza, wakulima wanapaswa kudumisha afya na rutuba ya udongo ili waweze kukuza mazao kwa mwaka mzima. Na pia wajadiliane na mamlaka za kisheria ili kuanzisha soko la bidhaa za kilimo hai ili waweze kufafanua haki na wajibu zinazohusika. Wanapaswa kuandika kanuni za soko na serikali za mitaa. Pia wanapaswa kusafisha soko kila baada ya wiki 2 na waanzishe mfumo wa dhamana ili wateja wasalimike na bidhaa zinazouzwa.
Vile vile, wekeza katika kuboresha huduma za wateja, na kupanua masoko.Tangazia wateja aina za bidhaa zilizopo na bei husika, uzito wa bidhaa, na kiasa kabla ya siku ya soko. Hatimaye, fundisha kikundi katika huduma bora za kushughulikia wateja na pia ushirikiane na taasisi mbalimbali ili kuhifadhi na kuvutia wateja.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0002:14 Kuuza bidhaa za kilimo hai kunahitaji mpangilio mzuri.
02:1502:32Pia kunahitaji majadiliano na mamlaka ya kisheria, mfumo wa dhamana na masoko
02:3304:10Pia kunahitaji uundaji wa shirika la wakulima ambao wamejitolea kutekeleza kilimo hai.
04:1105:12wakulima wanapaswa kudumisha afya na rutuba ya udongo
05:1306:18Na pia wajadiliane na mamlaka za kisheria ili kuanzisha soko la bidhaa za kilimo hai
06:1907:24Wanapaswa kuandika kanuni za soko na serikali za mitaa.
07:2509:00 Pia wanapaswa kusafisha soko kila baada ya wiki 2.
09:0109:14wekeza katika kuboresha huduma za wateja,
09:1509:57Tangazia wateja aina za bidhaa zilizopo na bei husika, uzito wa bidhaa, na kiasa kabla ya siku ya soko.
09:5810:42 fundisha kikundi katika huduma bora za kushughulikia wateja
10:4311:10Shirikiana na taasisi mbalimbali ili kuhifadhi na kuvutia wateja.
11:1115:38Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi