»AINA 5 YA BIASHARA YA GHARAMA KUBWA YA KILIMO CHA VIUNGO ITAKUFANYA TAJIRI| Aina 5 za viungo ghali Ulimwenguni «

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=chFeGMXoM5U&t=94s

Muda: 

00:04:17
Imetengenezwa ndani: 
2021

Imetayarishwa na: 

Discover Agriculture

Viungo vimekua sehemu ya historia ya wanadamu na ardhi ziligunduliwa katika pilkapilka ya kutafuta viungo. Viungo ni bidhaa ndogo, lakini umuhimu wake kwa upishi kimsingi una thamani.

Viungo vitano vya bei ghali zaidi ulimwenguni ni; mdalasini, karafuu, iliki, vanila na safroni .Mdalasini unagharimu dola 6 kwa paundi na inatokana kutoka gome la mdalasini na asili ya india. Kiungo cha karafuu kinagharimu dola 7–10 kwa paundi na ni asili ya Indonesia. Karafuu inaongeza ladha kwa vinywaji kama kahawa, kokoa ya moto na mvinyo.Karafuu ina harufu na ladha tofauti, na ni dawa kwa maradhi mengi na ni kiungo cha manukato na harafu zingine.

Iliki

Iliki inagharimu dola 30 kwa paundi na ladha yake ina nguvu sana. Ni asili ya India na inakuja katika aina mbili tofauti, iliki nyeusi au kijani. Iliki tunayo shirikiana sana kwa jina na ladha ni iliki ya kijani. liki nyeusi ina ladha minti na harufu ya moshi ukilinganisha na iliki ya kijani.

Safroni

Safroni inagharimu dola 1600–5000 kwa paundi. Safroni Inatoka kwa maua fulani ambayo ni ya asili ya Asia ya Kati na hii ndio sababu yake kuwa ghali sana. Kiungo chenyewe ni maua ya kike na kila ua ina sehemu tatu pekee ya kike. Ili kupata safroni unahitaji maua takriban 80,000. Nyongeza ya safroni kwa chakukla huleta ladha tamu na rangi kama hakuna viungo vingine kama hivyo.

Maelezo Zaidi

Kiungo ya Safron kawaida huleta ladha ya dhahabu- manjano ambayo ni ya kupendeza kama jua. Viungo haswa vilivyotengenezwa kutoka kwa mbegu ya safroni vina sehemu kubwa za mafuta, protini na kabohaidreti. Mwishowe, viungo vya vanila hugharimu kati ya dola 50– 200 kwa paundi. Unahitaji tu viungo kidogo ili kupata ladha kwa sababu ya nguvu ya viungo. Mexico na Madagaska hutoa vanila bora zaidi ulimwenguni.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:52Aina tano za viungo ghali ulimwenguni
00:05301:26Kiungo cha mdalasini asili, gharama na matumizi
01:2702:04Gharama ya Karafuu kwa paundi ,asili yake na sifa zake
02:0502:37Gharama ya iliki, asili yake na sifa zake
02:3803:11Kiungo cha vanila gharama kwa paundi na asili yake.
03:1204:17Asili, gharama ya kupata kiungo cha safroni.

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *