Udhibiti wa magugu katika mfumo wa uzalishaji wa Kikaboni

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=jsqa6cahRxI

Muda: 

00:17:44
Imetengenezwa ndani: 
2015

Imetayarishwa na: 

Martha Brown
Kwa kuwa ni jambo kuu katika kilimo, rutuba ya udongo huamua ubora na wingi wa mazao yanayokuzwa katika kipande fulani cha ardhi.
Wakati usimamizi wa magugu ukiendelea kuwa changamoto inayowakabili wakulima wa kilimo-hai, ongezeko la mbegu za magugu hupunguza mavuno, na vipengele vikuu vya udhibiti wa magugu haya ni mazao, kutumia bomba la umwagiliaji na kisha kulifanya likawa bomba la kutonesha kati ya siku 10 hadi 14.

Usimamizi wa magugu

Kwa vile muda ni jambo muhimu katika udhibiti wa magugu, shamba humwagiliwa maji wakati wa kupanda. Hata hivyo, hakikisha kwamba 1 inchi ya udongo imepenywa maji. Siku 4 baadaye, mwagilia huku ukihakikisha kwamba 1/2 inchi ya udongo imepenywa maji. Siku ya 7 baadaye, mwagilia huku ukihakikisha kwamba 1/2 inchi ya udongo imepenywa maji. Siku ya 11, udongo utakuwa tayari kulimwa.
Vile vile, tumia maji ya kutosha kwa ukuaji wa mimea na uhakikishe unalima udongo ipaswavyo, palilia mapema iwezekanavyo katika siku 10-14 kwa kutumia mbinu bora za palizi ili kuua magugu. Baada ya kupalilia magugu yaliyo juu ya kitalu, tumia jembe maalum la trekra kulima udongo na kuondoa magugu kati ya safu za vitalu.
Acha nafasi ya inchi 72 kutoka katikati ya tairi moja ya trekta hadi tairi nyingine. Weka jembe 3 kwa trekta kwa umbali wa inchi 36 kutoka moja hadi lingine.
Katika trekta hiyo, vifaa muhimu vya kulima ni jembe, patasi ili kuvunja mabonge ya udongo, na kisu cha pembeni ambacho hufanya kazi kando ya vitalu. Jembe linapaswa kuwekwa nyuma ya  matairi ya trekta kwa uendeshaji mzuri.
Hatimaye wakati wa kuleta trekta shambani, kumbuka muundo wa vitalu, weka mirija ya kutonesha kwenye vitalu, na mwagilia maji ili kuotesha magugu zaidi.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:19Udhibiti wa magugu ni changamoto kubwa kwa wakulima wa kilimo-hai.
00:2000:42ongezeko la mbegu za magugu hupunguza mavuno
00:4301:10Muda ni muhimu kwa udhibiti wa magugu.
01:1101:37Vipengele vikuu vya udhibiti wa magugu haya ni mazao
01:3801:42Kipengele kingine ni kutumia bomba la umwagiliaji na kisha kulifanya likawa bomba la kutonesha kati ya siku 10 hadi 14.
01:4301:53shamba humwagiliwa maji wakati wa kupanda.
01:5401:59Siku 4 baadaye, mwagilia huku ukihakikisha kwamba 1/2 inchi ya udongo imepenywa maji.
02:0002:04Siku ya 3 baadaye, mwagilia huku ukihakikisha kwamba 1/2 inchi ya udongo imepenywa maji.
02:0502:22Siku ya 11 udongo utakuwa tayari kulimwa
02:2302:29Ni muhimu kufanya ratiba ya juu umwagiliaji
02:3003:20Tumia maji vizuri kwa ukuaji wa mmea.
03:2105:11Palilia mapema iwezekanavyo katika siku 10-14.
05:1207:25 Kupalilia kikamilifu huua magugu vyema
07:2609:41 Kupalilia kikamilifu huchukua muda mwingi.
09:4210:05Baada ya kupalilia magugu yaliyo juu ya kitalu, tumia jembe maalum la trekra
10:0610:15Acha nafasi ya inchi 72 kutoka katikati ya tairi moja ya trekta hadi tairi nyingine.
10:1610:43Weka jembe 3 kwa trekta kwa umbali wa inchi 36 kutoka moja hadi lingine.
10:4411:13 Jembe linapaswa kuwa chini zaidi katikati ya trekta.
11:1411:55vifaa muhimu vya kulima ni jembe, patasi
11:5613:04Kifaa kingine ni kisu cha upande ambacho hufanya kazi kando ya kitanda.
13:0514:48Jembe linapaswa kuwekwa nyuma ya matairi ya trekta kwa uendeshaji mzuri.
14:4916:46wakati wa kuleta trekta shambani, kumbuka muundo wa vitalu
16:4716:56weka mirija ya kutonesha kwenye vitalu,
16:5717:10mwagilia maji ili kuotesha magugu zaidi.
17:1117:44muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *